Majukumu ya Jumla ya Kamati ya Masuala ya Kiuchumi, Ujenzi na Mazingira:
Kamati hii itashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo Kilimo, Mifugo, Viwanda, Madini, Biashara nk. Aidha itashughulikia pia miundombinu na suala zima la maendeleo ya Ardhi na hifadhi ya mazingira.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.