IDARA YA KILIMO UMWAGILIAJI NA USHIRIKA
Idara ya Kilimo yenye Wataalamu katika ngazi ya Wilaya, kata na vijiji inamajukumu ya kutoa huduma ya ugani kwa Wakulima wa Wilaya ya Kibondo kwa kufanya shughuli mbalimbali zenye lengo la kumkomboa mkulima wa Kibondo kutoka katika kilimo cha mazoea. Katika kutekeleza dhima hii mambo yafuatayo yanatekelezwa na Idara ya kilimo.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.