Mbunge wa jimbo la muhambwe ataka wananchi kutokua waoga .
Ambunganate .Hili nineno la kilatini lenye maana ya kuunganisha jamii.
Mh.Nditiye ambaye nimbunge wa jimbo la muhambwe amesema viongozi wote wa kuchaguliwa wanawajibu wakujitambua kwamba wao ni waunganishaji wa jamii baina ya wananchi hasa walioko vijijini na maeneo ya mijini.
Ameyasema hayo wakati alipokua katika ziara iliyochukua siku mmoja huku kata alizofanikiwa kufika zikiwa ni mabamba,kumsenga na kibondo mjini.Miongoni mwa masuala ambayo yalimvuta na kumshangaza nditiye akiwa katika kata ya kibondo mjini 9.6.2018 nipale aliposikia malalamiko kutoka kwa wa nanchi wakibondo ambao ni wabeba mizigo.Malalamiko kutoka kwa wa beba mizigo hao yalikua hivi, mh mbunge wewe nimbunge wawote ,wabeba mizigo ni wakwako,walevi ni wakwako na hata wazurulaji ni wakwako.
Mbeba mizigo mmoja jina linahifadhiwa alifikisha malalamiko haya kwa mbunge Nditiye .Sisi wabeba mizigo serikali imetusahau kabisa tunaomba utuambie nilini serikali itatukumbuka? .Inasikitisha kuona hata tukipigana au tukidhurumiana, hakuna anaye uliza ,hata tukitoana ngeo utasikia wale niwa beba mizigo.Mheshimiwa maisha haya tunayoishi nimatokeo ya wazazi wetu kuwa miongoni mwa kundi la watu masikini sana.Wengine wanaishi kwakuhudumiwa na TASAF.Sasa mh.utatusaidiaje ili watoto watoto wetu na wajukuu wetu wasije kuturithi kazi za kubeba mizigoi ? kwakweli maisha niyatabu sana alisema mbeba mizigo huyo.
Kwanza nawaombeni sana msiwaogope viongozi wenu mliowachagua ,pili hata kama hamjui kusoma na kuandika jiungeni pamoja nitawatafutia Mtaalamu na wahakikishieni mikopo ya kujiendeleza mtapata,mkifikia hatua hiyo mtajikomboa kiuchumi nyinyi na watoto wenu alisema Mbunge.

KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.