Posted on: November 11th, 2019
Msafara wa Viongozi ngazi ya Mkoa na Wilaya ya Kibondo wakitembelea vituo vya kupigia kura wilayani kibondo. Ziara hiyo imefanyika tarehe 8/11/2019 katika kata za Mabamba na Kibondo Mjini....
Posted on: November 9th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mh. Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga akiwa na wananchi wa kijiji cha Mukarazi kata ya mabamba alipotembelea vIituo vya kupigia kura hivi karibuni wilayani Kibond...
Posted on: November 9th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mh. Brigedia Generali Mstaafu Emmanuel Maganga akipokea taarifa ya upuliziaji viwatilifu ukoko majumbani toka kwa Mganga Mkuu Wilaya ya Kibondo Dr.Sebastian Pima kwa...